JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Poker anakwambia kila akifanya ujambazi wenzie wote wanakufa anabaki yeye mara ya mwisho kaporochoka makaburini kakurupushana na wachawi kaenda kuibukia msikitini
Mimi walikamata, wakaniuua.
👉Mwili wangu wakampa paka, paka akapewa sumu.
👉Alivyokufa, akaliwa na kunguru, kunguru akapigwa shoti.
👉akageuka Moshi, 🤣🤣- so unaona uhatari wanguuu stow away
 
Ivi GUYS.. kwanini wanandoa wakikaa muda mrefu, kunawakati unafika unaona kama wanafanana vile😂😂😂 like siblings 😁😁😁why?
 
Back
Top Bottom