contask
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 923
- 1,901
Huyo jamaa jauJifunze adabu na heshima, humu wote sio saizi yako. So huu upuuzi unge angalia hata mwezi mtukufu.
Najua kila mtu yuko huru, ila jitafakari dogo
Huyo jamaa jauJifunze adabu na heshima, humu wote sio saizi yako. So huu upuuzi unge angalia hata mwezi mtukufu.
Najua kila mtu yuko huru, ila jitafakari dogo
Navizia kumuibia mlevi hapa, naona amebeba mfuko wa rambo. Sijui ni chipsi yai or maviTukianzia na mimi sas hv natengenze mkeka (treni) wa Leo ..JE WEW UNAFANY NIN SAS HIV......Wakuu comment zenu hapo 2:26
Navizia kumuibia mlevi hapa, naona amebeba mfuko wa rambo. Sijui ni chipsi yai or mavi


Ameisha sio
🫡🙂Leo Dogo anaumwa, dah huu mkesha ni WA lazima. Anyways, prayers! Thank you
Jamboo afandeKumelauka 02:30
I wonder where his manners are, mwaka 1 jf tayari ashaanza upuuzi wa ma drama king.Huyo jamaa jau
At least utakua umemsaveI wonder where his manners are, mwaka 1 jf tayari ashaanza upuuzi wa ma drama king.
Ashukuru bro wake nipo, so the education is free.
Skills za Elon musk na Warren buffet - iam the mostly
Hakika. Usiku una mambo mengi. Pakikucha salama unamshukuru MunguAmiiiin kikubwa uzima shekhe wangu mkuu, mengi kushukuru Mungu kwa uzima anaotupatia bila kulipia chochote
Jambo sana mtembeziJamboo afande
Nipo lindo😀Tukianzia na mimi sas hv natengenze mkeka (treni) wa Leo ..JE WEW UNAFANY NIN SAS HIV......Wakuu comment zenu hapo 2:26
Hahaha 😅Safi kabisa, hio bit tiba nzuri, nimefurahi leo mwizi wa kimataifa
👉Nimetoa ushauri mzuri, siku nyingine nitawaibiaa
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
Kamandaa 😆Nipo lindo😀