Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,367
- 96,651
Successo goato intelli 💪💪
Nipo maeneo ya mianzini kama unaemda mount meru 😂Kwa walioko Arusha muda huu na Wanakula vyombo wanyooshe mikono juu niangalie kama naweza kutoa location
Upo mbali sana nipo mjengoni Club olasiti ila radi inapiga kama tumeiba rambirambiNipo maeneo ya mianzini kama unaemda mount meru 😂
Kabisa uko nilikuwa mida ya saa mbili ivi nataka nikimbie nikapumzishe fuvu iliUpo mbali sana nipo mjengoni Club olasiti ila radi inapiga kama tumeiba rambirambi
Unalala mapema sana mkuu .hapa nikitoka naenda kuendelea na maombi ya kuvunja na kuharibu nguvu za Giza zinazozuia mvua kunyeshaKabisa uko nilikuwa mida ya saa mbili ivi nataka nikimbie nikapumzishe fuvu ili
Kudadeki hii hatar ase 😂😂😂😂 uniombee na mimi mzeeUnalala mapema sana mkuu .hapa nikitoka naenda kuendelea na maombi ya kuvunja na kuharibu nguvu za Giza zinazozuia mvua kunyesha
Watu wanalala mapema mno😎
Tena saa moja kma kuku anae umwa kitogaWatu wanalala mapema mno😎
Amen mtumishi wa BwanaKudadeki hii hatar ase 😂😂😂😂 uniombee na mimi mzee
HahahaTena saa moja kma kuku anae umwa kitoga
Why inakuwa kama ivyoHahaha
Niombee ni mgonjwa kidogoAmen mtumishi wa Bwana
Maybe wanachoka na majukumu ya kila siku.Why inakuwa kama ivyo
Majukumu gani wew kutongoza 😂😂😂 kama Mzee wa kupambania kazidi sana moaka vikongweMaybe wanachoka na majukumu ya kila siku.
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana pokea uponyaji wako sasa Kwa jina la Yesu Kristo anazareth aliye haiNiombee ni mgonjwa kidogo
Napokea mtumishi zumarid 😂🌏Kwa Mungu hakuna linaloshindikana pokea uponyaji wako sasa Kwa jina la Yesu Kristo anazareth aliye hai
UmekimbiaMaybe wanachoka na majukumu ya kila siku.