Niliwahi kuishi jirani na watu wa kujiita slowamu, aiseeeee aargh!!!Mi ndio nalala saivi yaani nipo pembeni ya kanisa wamepiga vinanda usiku wote ndio wamepumzika saivi nyie acheni tu
🤣🤣🤣🤣 mi sifanyagi matusi kwenye baridi napenda jipa joto mwenyeweAvae nguo....mate yanini? Shows huwez lala na manz night nzima bila kumkunja
Wewe ndo ulikimbia😕Kanali G To yeye Intelligent businessman Poor Brain Bantu Lady Dahan Jabari XVI Tayukwa Ibra tiger mmechemka mapema sanaaa wakuu.. mmeniachia lindo
Mie mbona nipo napambana na hali yanguWewe ndo ulikimbia😕
Umeaga unarudi kulala au unaingia kwenye kaziniNishaaga mie
Kulala,karibuUmeaga unarudi kulala au unaingia kwenye kazini
Haya bhanaMie mbona nipo napambana na hali yangu
😅😅 na mie nimeisha zalisha joto napata usingizi sasaKulala,karibu
Sawa tulale sasa😅😅 na mie nimeisha zalisha joto napata usingizi sasa
👉Panga mkononiYa 3, tuna tumia jiwe linalo itwa Bantu Lady au Dahan, nikisaidiwa na mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo wa kimataifa Poor Brain, na chambo wa chama Cha wezi Analyse