National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Mambo mazuri.. aisee hulali weyeee.. Bye narusi kupiga usingizi part two nimemaliza kazi zote nilale official sasaMambo?
Sawa,mi nilishaamka kumwandaa huyu mwanangu aende shule kufanya mitihaniMambo mazuri.. aisee hulali weyeee.. Bye narusi kupiga usingizi part two nimemaliza kazi zote nilale official sasa
Ukiwa free,msumbufu kweli we bro🤒
Duh! Nilijua bado mmekata moto 😅😅😅 basi weekend njemaMi apa
Jumamosi mtoto hapumziki?Sawa,mi nilishaamka kumwandaa huyu mwangu aende shule kufanya mitihani
Darasa la Tatu wanafanya mitihani Kila jumamosiJumamosi mtoto hapumziki?
Mna wa overdose watoto, 🙂🙂🙂 siku za kusoma n hizi ✊️tuDarasa la Tatu wanafanya mitihani Kila jumamosi
Ndo ivo 🤭Mna wa overdose watoto, 🙂🙂🙂 siku za kusoma n hizi ✊️tu
Hi Sera imekuwa kubwa, ngoja tujipange tununue vifaru, na hellcopter👉Panga mkononi
👉Roho begani
Wewe mbona mi nilikuwa macho??, Sema nilikuwa jukwaa jingine.Kanali G To yeye Intelligent businessman Poor Brain Bantu Lady Dahan Jabari XVI Tayukwa Ibra tiger mmechemka mapema sanaaa wakuu.. mmeniachia lindo
Dogo SI umeandika shairi la mapenzi hapo juu, mi Sina tatizo. Ila if you got then spit it out.Ivi ww mzee unajua kuwa iko kingeleza chako tutakuloga au ni mwalimu wa english? Nifundishe kuandika mimi sijui
Mii nipo mwingi hapaIntelligent businessman Bantu Lady Dahan Poor Brain mmepotezwaaa.. Mzee wa kupambania ulikuwa uba beep
Wewe unavokuaga polini.. hata sisi tunakuaga hivi hivi anKanali G To yeye Intelligent businessman Poor Brain Bantu Lady Dahan Jabari XVI Tayukwa Ibra tiger mmechemka mapema sanaaa wakuu.. mmeniachia lindo