Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,547
- 66,084
01:39 endelea kulala, utakula ulichoota.
Nitakula nilichoo ota
01:39 endelea kulala, utakula ulichoota.
Fanya hivi👉 @intelli, jina litakujaNatumia app bhna ww mzee inanishinda
Endelea kulala, utakula ulichootahujalala mpaka sasa hivi, ulinunua godoro la nini?
ASAP,Nitakula nilichoo ota
Kwa hiyo mko nyumba ya ngapi mnavunja sasa hivi?Endelea kulala, utakula ulichoota
Amelowa, amelowa- amenyeshewa na mvua😁😎Godoro limelowa maji
Ya 3, tuna tumia jiwe linalo itwa Bantu Lady au Dahan, nikisaidiwa na mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo wa kimataifa Poor Brain, na chambo wa chama Cha wezi AnalyseKwa hiyo mko nyumba ya ngapi mnavunja sasa hivi?
Amelowa, amelowa- amenyeshewa na mvua![]()



af maji yameingia ndani02:09 asta la Vista comrades
Wote chaliiiYa 3, tuna tumia jiwe linalo itwa Bantu Lady au Dahan, nikisaidiwa na mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo wa kimataifa Poor Brain, na chambo wa chama Cha wezi Analyse