Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,180
- 4,422
Umeanua ngoma juani 😁Haya Umeshinda aisee
Umeanua ngoma juani 😁Haya Umeshinda aisee
😂😂😂Maana naona kabisa mwanaume kulala na mwanamke stranger on onebed without kumwagiana ni ngumu.🙄🤒Umeanua ngoma juani 😁
Lakini mi naweza ila inategemea mwanamke gani na mazingira gani😂😂😂Maana naona kabisa mwanaume kulala na mwanamke stranger on onebed without kumwagiana ni ngumu.🙄🤒
Oo mwanamke gani tenaLakini mi naweza ila inategemea mwanamke gani na mazingira gani
Aamiyn 🤲🤲Ashukuriwe Mungu wetu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo.Atufungulie siku ya Leo ikawe njema na yenye baraka na mafanikio tele...akatuepushie na vikwazo vya namna yoyote Ile.Amina
AmiinAamiyn 🤲🤲
Hii dua ya moto moto kabisa
Wa kushindwa kutoboa mpaka asubuhi au wa lolote linaweza kutokea?Oo mwanamke gani tena
Nje ya makubaliano?Wa kushindwa kutoboa mpaka asubuhi au wa lolote linaweza kutokea?
Kukufa nalo tena!!Nipo nashikwa kalio taratibu hapo ivo Hilo baridi kufa nalo....ukiona sichagui tena ujue tayariii🤸🤸🤸
Ivo yaan😂😂Kukufa nalo tena!!
Kama weweNje ya makubaliano?
Tulia bas,usinitie wenge🤒Kama wewe
Me too 05:07Narudisha mpira kwa kipa 05;06
Si unashikwa sponji zako sasa wahangaika nini😂Tulia bas,usinitie wenge🤒
Ndo maana nimesema usinitie wenge...see you thenSi unashikwa sponji zako sasa wahangaika nini😂