National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
05:03
Zinakumbusha mbaliHalafu kuna ile ngoma ya Safa saphel' isizwe
Huo wimbo unaishi sanaHuu wimbo wa Yvon Chakachaka, From me to you. Namuelewaga sana
Wapi Bantu Lady Dahan .. au leo mmeotewaWe National Anthem usijaribu maana Bantu Lady is my boss so ntakupasua hayo meno yako Kama ngiri
Ni vema na haki05:10.. tunaanza sasa morning glory
Sarafina na Neria ni miongoni mwa movies zangu bora za wakati wote za AfrikaZinakumbusha mbali
Nimetekwa tena love....tena Yaan😰Embu niambie kipenzi kakufanyeje, nije na silaha chap🤔
Mmeamkaje wapendwa?
Ni poa cute wanguSalama Dia !!cjui upande wako
Ni poa cute wangu
Nawe pia.....ikawe na aman na utulivu momNafurah kusikia hivo love!!!uwe na siku njema na yenye baraka tele kipenz
Pia kuna nyingine ya Zimbabwe, inaitwa Everyone's ChildSarafina na Neria ni miongoni mwa movies zangu bora za wakati wote za Afrika
💯🤝Pia kuna nyingine ya Zimbabwe, inaitwa Everyone's Child
Sarafina na Neria ni miongoni mwa movies zangu bora za wakati wote za Afrika