Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,536
- 66,066
SPACE CADET sikia soon na ku mute izo dislike zako sizihiitaji hasa kwenye comment zangu
Zipokee tu huwezi pendwa na woteSPACE CADET sikia soon na ku mute izo dislike zako sizihiitaji hasa kwenye comment zangu
kila uzi ana dislike 😀😀😀 inawezekana kitendea kazi chake kina matatizoSPACE CADET sikia soon na ku mute izo dislike zako sizihiitaji hasa kwenye comment zangu
I will continue tomorrowYaaah huku mtu akitoboa kwa talent jua ni real ana hiyo talent an yupo full
Ila kuna wengine ambao wanapambana school ili end of day aendee ile talent yake.
Ambayo ilikua ni weak talent. Ndo mana nasema huku kutoboa kwa talent basi achana na kila kitu wee focus na talent yako.
Tunajitafuta sana mkuu daah
Uchir namba 9 nimekusahau ngoja nikuakupe namba
Dsm kumekuja Mbu sijui wakisukuma hawa ,mbu wakubwa kama nzi wanashambulia ajab,ukiwaspray wanakucheka![]()
Vp kwanza ile pisi ya jf ulipiga?Huyo wake zake ni wale madada poa wa kimboka 😂😂😂
Ase mimi sipend af na mfahamu good tu shida sijui ninikila uzi ana dislike 😀😀😀 inawezekana kitendea kazi chake kina matatizo
Jf sina pis 😂😂Vp kwanza ile pisi ya jf ulipiga?
Utaalisha mbuu leo ulikula wa nini? 😂Kumbe mbu ni wachungu hivi? Ptuu🤮
Uzuri wa kulala na chandarua ni kuwa ukiamka asubuhi unaweza pigana na mbu man to man...Weka net kuliko dawa
Najua uliomba appointment na ukakutana na dume🥲🤣 so don't dare next timeJf sina pis 😂😂