Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,664
Kawaida sana mkuu. Unatoa kushoto, unaweka kulia, maisha yanasonga 😅😅Nlkua nakula Ada zangu now nakula mpaka Ada za watoto Hali ni ngumu![]()
Kawaida sana mkuu. Unatoa kushoto, unaweka kulia, maisha yanasonga 😅😅Nlkua nakula Ada zangu now nakula mpaka Ada za watoto Hali ni ngumu![]()
Kikubwa unajiweza ...I think talent is a broad broad term.....
Asilete u homo Humu na mind ma homo mimi aisee 😐Mpotezeeeni hana madhara ndiyo mwana jamiii mwenzetu kashaharibiwa
Tatizo timu yetu Ina walevi wengi. Pumzi hakuna 😅😅Naunda kamati ya ulinzi ya kudumu ndicho kitakua kikosi kazi tuombe mechi namajukwaa mengine
Wanajiachia waziwazi hii kitu imekuja kuwa ni kitu ya kawaidaAsilete u homo Humu na mind ma homo mimi aisee![]()
Una mchokoza 😂😂Hako katoto kanafanywa na wachawi wa Korea
We unatumia app?Hivi dislike inawekwa wapi au mpaka browser
Tatizo timu yetu Ina walevi wengi. Pumzi hakuna![]()
Usifanye utani na mtu anaeshindana na usingizi ni kizazi tofauti katili kabisa,YapWe unatumia app?
Brother talent ipo broadKikubwa unajiweza ...
Kama mtu ujiwezi elimu itakua ndo mtaji
Mlevi peke yako ss wengine tusha mpokea YesuTatizo timu yetu Ina walevi wengi. Pumzi hakuna 😅😅
wez kuona ukitumia app ingia kwa web
Tena ww ndio master. Konyagi peke yake ulewi, mpaka umix k vant, smart gin na double kick 😅😅😅Mlevi peke yako ss wengine tusha mpokea Yesu
Dah unaniongopea uku shetan anajifunza kitu kutoka kwako 😂😂😂 mm nakunywa fanta orengeTena ww ndio master. Konyagi peke yake ulewi, mpaka umix k vant, smart gin na double kick 😅😅😅
Mfumo hauko rafiki,halafu kuna kitabia cha wazazi kunokolea mtoto asijiingize kwenye michezo asome tu ndiyo atafanikiwa,mifumo haipokei mwenye talent kufanikiwana mwenye ufaulu mkubwa kutoka yani waliofanikiwa ni wale walikua wanazungusha sana class ni watoto wa matajiri mawaziri wakuu wa nchiiBrother talent ipo broad
We can categorize talent in two ways moja Ya darasani, mbili out of field ( ya nje ya darasa, hapa unaona wachezaji mpira, waimba muziki, wachoraji nk)
For our developing countries ni mara chache Sana mtu mwenye outfield talent kufanikiwa kimaisha sijasema mwenye talent Namba moja ya darasani wote hufanikiwa Hapana lakini Atleast mwenye talent ya darasani anakua recognised easily hii ni kwa hizi nchi zetu, kuwa na talent na kuwa fully recognised kwa talent namba mbili kwa hizi nchi zetu ni kitu kigumu Sana
So.... Eeh nasinzia mkuu tutaongea Kesho![]()
Yaaah huku mtu akitoboa kwa talent jua ni real ana hiyo talent an yupo fullBrother talent ipo broad
We can categorize talent in two ways moja Ya darasani, mbili out of field ( ya nje ya darasa, hapa unaona wachezaji mpira, waimba muziki, wachoraji nk)
For our developing countries ni mara chache Sana mtu mwenye outfield talent kufanikiwa kimaisha sijasema mwenye talent Namba moja ya darasani wote hufanikiwa Hapana lakini Atleast mwenye talent ya darasani anakua recognised easily hii ni kwa hizi nchi zetu, kuwa na talent na kuwa fully recognised kwa talent namba mbili kwa hizi nchi zetu ni kitu kigumu Sana
So.... Eeh nasinzia mkuu tutaongea Kesho 😁
Dah unaniongopea uku shetan anajifunza kitu kutoka kwako 😂😂😂 mm nakunywa fanta oremgeTena ww ndio master. Konyagi peke yake ulewi, mpaka umix k vant, smart gin na double kick 😅😅😅