Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,845
Naomba unipatie majina ya waliodoji kijanaMzee kama mzee ndio anaingia na V8 yake
Naomba unipatie majina ya waliodoji kijanaMzee kama mzee ndio anaingia na V8 yake
Kazi iendelee mrembo 🤣tchaot sema jambo mkuu.. 😂
Washa dawa ya mbu02:24.. Tupogo 👍
Nishaua mmoja hapa wenzie wameenda msibani.. 😀😀😀Washa dawa ya mbu
Supu yake tamu kweli,ukidaka mwingine ,nishtue nije,nitakula hadi kongoro zakeNishaua mmoja hapa wenzie wameenda msibani.. 😀😀😀
Yaan hivi vidudu ndomaana vikapewa tumwili tuduchu.. 😂😂😂Supu yake tamu kweli,ukidaka mwingine ,nishtue nije,nitakula hadi kongoro zake
Tusingekuepo aisee hahahaYaan hivi vidudu ndomaana vikapewa tumwili tuduchu.. 😂😂😂
Emagine mmbu wangekua wakubwa kama simba😂😂😂
Na hatuna maisha marefu ,akikuuma hakai Sana anakufa,imagine na sisi binadamu ukikojoa kimoja tu unakufa hahahaYaan hivi vidudu ndomaana vikapewa tumwili tuduchu.. 😂😂😂
Emagine mmbu wangekua wakubwa kama simba😂😂😂
Watu tusingekojoa loh😂😂😂😂Na hatuna maisha marefu ,akikuuma hakai Sana anakufa,imagine na sisi binadamu ukikojoa kimoja tu unakufa hahaha
Bora twakike tunaishi muda kidogo ila twa kiume wiki tuu chali😂😂😂Na hatuna maisha marefu ,akikuuma hakai Sana anakufa,imagine na sisi binadamu ukikojoa kimoja tu unakufa hahaha
mafuta futa hahahWatu tusingekojoa loh😂😂😂😂
Havisuguliwi vizuri,uto twa kiume tutavipa mkongoBora twakike tunaishi muda kidogo ila twa kiume wiki tuu chali😂😂😂
Tungevipa al-kasus.. Famchezo nin😂😂😂Havisuguliwi vizuri,uto twa kiume tutavipa mkongo