Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Khaaa mihogo kweli sure na utombo wa sisimizi? 😂😂😂Ndio vinono vyenyewe au vinono vipoje?
Khaaa mihogo kweli sure na utombo wa sisimizi? 😂😂😂Ndio vinono vyenyewe au vinono vipoje?
😂 acha kuberi mkuuKhaaa mihogo kweli sure na utombo wa sisimizi? 😂😂😂
Jana na leo mkuu. Lindo lianze
Huyo Santos06 hatumtaki hapa ana mambo ya kikubwa sana 😂😂
Jana na leo mkuu
Mwambie akupikie mchemsho wa kuku na korosho pembeni na parachich ivyo ndivyo vinono bhna 😂😂😂 ukil ivyo mechi la zima ushinde 😂😂😂 acha kuberi mkuu
Af ni mjanja janja wa kule mbulu 😂😂 sasa asije akaja na mbuzi wake hapa patakua hapatoshi[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Aje mbele ya kamati ajitetee
Kila mtu ashinde mechi zake unaijua bei ya korosho weweMwambie akupikie mchemsho wa kuku na korosho pembeni na parachich ivyo ndivyo vinono bhna 😂😂😂 ukil ivyo mechi la zima ushinde 😂😂
Akijibu niite mbwa koko wa kihesaSantos06 kuna majungu yako huku,nisaidie kujibu
Akijibu niite mbwa koko wa kihesa
Acha ubabahifu kilo 12000 bhna 😂😂😂 umeongea kwa uchungu ase 😂😂😂 ngoja siku nikinunua nitakulushia mfuko mmojaKila mtu ashinde mechi zake unaijua bei ya korosho wewe
Huyo wake zake ni wale madada poa wa kimboka 😂😂😂Mmeibiana wake nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapi huko kilo 12K ? Hata ntwara sidhanAcha ubabahifu kilo 12000 bhna 😂😂😂 umeongea kwa uchungu ase 😂😂😂 ngoja siku nikinunua nitakulushia mfuko mmoja
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sasaaaa nimewaelewaHuyo wake zake ni wale madada poa wa kimboka [emoji23][emoji23][emoji23]