Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,560
- 66,156
Watu wamechoks
Alizingua hapo tuu mwamba daaah....Jamaa kani mind asee ila alikuwa limbukeni kweli kumsifia demu kama malaika kumbe anamapungufu mengi tu 🤣🤣🤣🤣
National Anthem upo wapi
Weekend hii unachoka na nini..?Watu wamechoks
Bado yupo kwenye ban tuuUyo kafungiwa
Weekend hii unachoka na nini..?
Bado yupo kwenye ban tuu
Duuuh na Dahan yupo wapiKelele za mtaani
Ilikuaje 😂😂😂🤓🤓No kafungiwa na demu wake kaja juz
Duuuh na Dahan yupo wapi
Ilikuaje![]()


dem wa insta kaona mambo yasiwe mengi akamfungia ndani ili asitokeDaaah watu na watu wenu dadekNambembeleza hapa alale kachoka
Ujaenda disco leoDaaah watu na watu wenu dadek
.. ngoja mi niendelee kucheki movies tuu mdogo mdogo
Alaaaahdem wa insta kaona mambo yasiwe mengi akamfungia ndani ili asitoke
Yah ndio ipo ivyoAlaaaah
Hapana hapana... Hiyo ilikua jana mkuu ahahahUjaenda disco leo
Leo wapi twende tukaloge kwa Analyse na Mzee wa kupambaniaHapana hapana... Hiyo ilikua jana mkuu ahahah
Yule kweli poor daah...Yah ndio ipo ivyo
Humuwez ata kidogo yule anakesha na tinderYule kweli poor daah...
Ngoja aje atupe mpya na nyia anazotumia kupata watoto