Mbona tunatishana ahahaahahLinawza tokea popote
Unataka kulala?01:40
Kaka binadamu tuone hivi hivi, nimeenda hospital, kunywa dawa ila still hakuna nafuu ya Hali yangu ya afyaa damn it😫😫Intelligent businessman shida nini mpaka utake kwenda pangani...?
Simfahamu mkuu, nataka nikajaribu hukoo mana nimeambiwa wako vizuriiKwani uliwahi kwenda siku ingine ukapona? Huyo mtaalam unamfahamu?
Nakuona mkuu01:45
Pole sana mkuu..Kaka binadamu tuone hivi hivi, nimeenda hospital, kunywa dawa ila still hakuna nafuu ya Hali yangu ya afyaa damn it😫😫
everything is temporary,,, nini kilikusibu ukasema kweeeeli, everything is temporary (ni kweli), ila kuna jambo
Mkuu usione kuna muda nachekesha watu, naatania ila Hali ni nzitoo mkuu. Haya Mambo yasikie kwa mwenziooo😫😫Pole sana mkuu..
Mungu akutie nguvu an daah
Yaani bado tuu mambo yapo mengi sana yanakujaeverything is temporary,,, nini kilikusibu ukasema kweeeeli, everything is temporary (ni kweli), ila kuna jambo
kweli. ngoja nikutaftie kaujumbe flani hapa nilikaonaga quora, ingawa naona kalikuja kufutwa ila mtandaoni kapoYaani bado tuu mambo yapo mengi sana yanakuja
Ila lililofanya niseme kuwa kila kitu ni cha mpito tuu ..
Ni pale nilipopata shida na solution yake ilinibidi niwe cool kiasi ambacho kwa kipindi kile... daah
Daah pole sana mkuuMkuu usione kuna muda nachekesha watu, naatania ila Hali ni nzitoo mkuu. Haya Mambo yasikie kwa mwenziooo😫😫
Sawa mkuu..kweli. ngoja nikutaftie kaujumbe flani hapa nilikaonaga quora, ingawa naona kalikuja kufutwa ila mtandaoni kapo
Kweli bado upo na chaji 99%
Nitaanzia hospital asubui nikamwone specialist fulanj, Kisha baada ya hapo lazima niende huko nikapambanie uhai wangu🙏🙏Daah pole sana mkuu
Linapokuja suala la afya huwa natafakari sana.
Tunapitia hayo yote ila yatapita na yana mwisho mkuu
Fanya juu chini kikubwa afya yako iwe sawa
AFYA MTAJI