Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,133
Intelligent businessman mda bado et🤓🤓🤓🤓
Naangalia usalama tuIntelligent businessman mda bado et🤓🤓🤓🤓
National anthem kuna uzi wame mtag kule sijui ameona kweli🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓Usiogope humu wezi tupo 3 mimi intelli, National Anthem, na Mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania
Kala ban ya nguvu, toka janaaNational anthem kuna uzi wame mtag kule sijui ameona kweli🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Nyie watu sio poa hamlali
Khaaaa kwanini au uzi wa jamaa kule ndo umefanya ale banKala ban ya nguvu, toka janaa
Uzi unamuhusu alifanya Nini, nijuze basi Poor Brain nitag ili nikamteteeKhaaaa kwanini au uzi wa jamaa kule ndo umefanya ale ban
Kauli ya kinyonge hiiAcha niendelee kuwa single and happy
Mkuu napenda msosi movie,music,games, na footballKauli ya kinyonge hii
Arsenal ni irresistible forceEPL Kuna moto ulao aseee ila 26/4 sio mbali 😒😒
Tafuta na pisi yako moja tu ya kujibebishaMkuu napenda msosi movie,music,games, na football
Mkuu Mambo ni mengi muda ni mchache, ngoja akitokea afu nikaelewa ntatoa mrejesho hapa😁😁Tafuta na pisi yako moja tu ya kujibebisha
Nimetoka kuopoa hapa baada ya kuwa single for a long timeTafuta na pisi yako moja tu ya kujibebisha
Hope mtadumu bro, na sio ma gold digger 😁🤐Nimetoka kuopoa hapa baada ya kuwa single for a long time