Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,404
- 96,730
Mkuu naumwa ndugu, hapa nina mpango wa kwenda tanga kesho nikajaribu tiba mbadala
Mkuu naumwa ndugu, hapa nina mpango wa kwenda tanga kesho nikajaribu tiba mbadala
Ww sinulikuwa unacheza ama pianoMkuu naumwa ndugu, hapa nina mpango wa kwenda tanga kesho nikajaribu tiba mbadala
Mzee wa kupambania sijui yupo wapi au bado anapambania 🤓🤓😂Leo wapi twende tukaloge kwa Analyse na Mzee wa kupambania
Ndugu leo siko sawa, Nina mpango wa kwenda tanga nikajaribu tiba mbadala maana wataniua hawawatu🙏🙏Kibaka ana kuja chunga mizigo yako Intelligent businessman anakuja uyo
Mkuu iam not joking, aiseeWw sinulikuwa unacheza ama piano
Ahahaahahahahahahahah. Hapaba yule hana ban ila ukute yupo poriniHumuwez ata kidogo yule anakesha na tinder
Nini .? 🤓🤓
Huyo yupo maeneo ya club uko anadangia mashuga mamyMzee wa kupambania sijui yupo wapi au bado anapambania 🤓🤓😂
Kwani uliwahi kwenda siku ingine ukapona? Huyo mtaalam unamfahamu?Mkuu naumwa ndugu, hapa nina mpango wa kwenda tanga kesho nikajaribu tiba mbadala
Sawa kaka nendaMkuu iam not joking, aisee
😂😂😂 masikio bhnaKwani uliwahi kwenda siku ingine ukapona? Huyo mtaalam unamfahamu?
Anasema yuko seriousmasikio bhna
La wapi tena...Mkilala kumbukeni tetemeko sawa
Itakuwa kweliAnasema yuko serious
Linawza tokea popoteLa wapi tena...
Huyo mtaalam sasa.... Anakaa wapi? Sehemu gani? Anaitwa nani?Itakuwa kweli