Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,786
- 58,396
Tumwelekeze bana au bado bado...?Mtt mdg huyuu.. Mwachenii kwanza aenjoy goosebumps za music... 😂😂😂
Tumwelekeze bana au bado bado...?Mtt mdg huyuu.. Mwachenii kwanza aenjoy goosebumps za music... 😂😂😂
Nyie mna faidi ila hamtuzidi maana afya zetu bado ni strong🤓🤓🤓🤓🤓 Sawa tuna kushauri tuu....
Na sisi mda bado upo mbona 🤓🤓🤓
Wakubwa wanafaidi😋
AmenAll de best
Tupooo,hatujatoroka 04:25Nipo kuchukua rollcall mwayaa [emoji404] [emoji23][emoji23][emoji23]
Achana kabisaa na maswala ya uterez mwaego.. 😂😂😂Focus👌Damu ya moto kabisa hii 🤣🤣🤣
Ahahahahah sawa bana.Now hakuna ukubwa mzeee.... Mwenyew Mali ndy anafaidi. Ngoja uwe mkubwa alaf ucwe na kitu uanze kuwaonea wivu vijana
Ng'ombe hazeeki mainiNyie mna faidi ila hamtuzidi maana afya zetu bado ni strong
Huwezi fananisha nguvu kaxi au afya ya 19 na 53 huko no way mkuu 😒
Ng'ombe azeeki maini....😂Nyie mna faidi ila hamtuzidi maana afya zetu bado ni strong
Huwezi fananisha nguvu kaxi au afya ya 19 na 53 huko no way mkuu 😒
Muda gani tena huo unaongolea sisemei muda wa chuo nasema muda wa umri wa ujana mpaka uzeeeFirst year mda wanao kweli au anatudanganya 🤓🤓🤓🤓
😂😂😂😂 Muda wa kujiandaa na morning glory huuTupooo,hatujatoroka 04:25
Muacheniii... atajionea mwenyewe kwa macho yake ya njee😂😂😂 na ya ndanii😢😢😢Tumwelekeze bana au bado bado...?
Sawa dada nafocus kweli kweliAchana kabisaa na maswala ya uterez mwaego.. 😂😂😂Focus👌
Sawa sawa... 🤝🤝🤝Muda gani tena huo unaongolea sisemei muda wa chuo nasema muda wa umri wa ujana mpaka uzeee
Morning glory ndo nini..? 😂😂😂😂😂😂😂 Muda wa kujiandaa na morning glory huu
Kirikitiiitii kriitiii kitiiii akukuuukuukukuu kuukuukuukuku kuukuu akuuukuukukuku uuuuuuuhhhh😆😆😆😆😆Sawa dada nafocus kweli kweli
Kiburudisho ni amapiano tu 😊😊😊
Hapo kwa macho ya ndani😂😂😂😂Muacheniii... atajionea mwenyewe kwa macho yake ya njee😂😂😂 na ya ndanii😢😢😢
Dahan anaimba et😂😂😂😂Kirikitiiitii kriitiii kitiiii akukuuukuukukuu kuukuukuukuku kuukuu akuuukuukukuku uuuuuuuhhhh😆😆😆😆😆
Na ukubwa wote hujui daah asiyejua maana haambiwi maana 🤣🤣Morning glory ndo nini..? 😂😂😂
Ni kama mtumbwi wa vibwengo😅😅😅😅Morning glory ndo nini..? 😂😂😂