Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,143
ππππππAtaelewaje sasaπππ mtu mwenyewe ushaona ni Poor Brain πππakuuh
Msinitenge sasa khaaaaa
ππππππAtaelewaje sasaπππ mtu mwenyewe ushaona ni Poor Brain πππakuuh
Aaaah kweli haya majina ya id yanaakisi mengi kuhusu mhusika ππAtaelewaje sasaπππ mtu mwenyewe ushaona ni Poor Brain πππakuuh
Mmmmmh ngoja kwanzaπ€£π€£π€£π€£ Unanikata maini
Jiongeze kidogo unaikaribia maana
Kweli kabisa yaaan wee usioge siku 48 mchezo nini ππππAaaah kweli haya majina ya id yanaakisi mengi kuhusu mhusika ππ
π€¨π€¨π§Mmmmmh ngoja kwanza
Mbona jina limekaa yaaani
Oky kwa kweli uwezo wangu wa kufikili umeishia hapo...
Sio 48 ni 47 alafu ilikuwa Arusha hivyo baridi ilinisapoti tuKweli kabisa yaaan wee usioge siku 48 mchezo nini ππππ
Mnaficha ficha mambo tuuπ€¨π€¨π§
πππUshazoea wakina kamo, mellow, focal, bohle, ntoshi, maparaa, sleazy, maphorisa hukooπππMbona haina beat imekaa kienyeji hiyo πππππ€£π€£
Ahahahahah huo uwongo uwongo uwongo...... Jina linaakisiSio 48 ni 47 alafu ilikuwa Arusha hivyo baridi ilinisapoti tu
Msinitenge sasa jamniππππππUshazoea wakina kamo, mellow, focal, bohle, ntoshi, maparaa, sleazy, maphorisa hukooπππ
Aaah nimesoma tu hayo majina tayari beat zimeanza kucheza kichwani daaah hawa watu wanaweza kukufanya uone maisha ni matamu sana β€οΈβ€οΈβ€οΈ all the music worldwideπππUshazoea wakina kamo, mellow, focal, bohle, ntoshi, maparaa, sleazy, maphorisa hukooπππ
Tupo pamojaa... Umejiandaa na morning glory au we bado bado? πππMsinitenge sasa jamniπππ
We muulize Kanali G atakujibu vizuri ushafunguliwa code zote we bado tu huelewi πππMsinitenge sasa jamniπππ
Hapo kwenye all the music worldwide yaani nimejiona na mi nipo maana namkubali sanaAaah nimesoma tu hayo majina tayari beat zimeanza kucheza kichwani daaah hawa watu wanaweza kukufanya uone maisha ni matamu sana β€οΈβ€οΈβ€οΈ all the music worldwide
Ngoja aje National Anthem tuuuWe muulize Kanali G atakujibu vizuri ushafunguliwa code zote we bado tu huelewi πππ
Mafuta unatumiaga?? ππππMnaficha ficha mambo tuu
Hapana bado mi mpaka jioni ndo naingia mazoezini...Tupo pamojaa... Umejiandaa na morning glory au we bado bado? πππ
Oky... Sie ni moningiiii.... πππHapana bado mi mpaka jioni ndo naingia mazoezini...
Daaah hovyo kabisa kwanzia lini morning glory β¨π« ikapigwa jioni yaani unaenda kinyume nyume π€£π€£π€£π€£π€£ we ni poorest brain mkuuu dahHapana bado mi mpaka jioni ndo naingia mazoezini...
Swali TATA....Mafuta unatumiaga?? ππππ