Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,816
🤣🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni kama mtumbwi wa vibwengo😅😅😅😅
Eti mtumbwi wa vibwengo ndo maana vibwengo hawaendagi shule sio
🤣🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni kama mtumbwi wa vibwengo😅😅😅😅
Dahan mbona uniambii directly😂😂😂😂Ni kama mtumbwi wa vibwengo😅😅😅😅
Ebu nambie wewe kijana😂😂😂Na ukubwa wote hujui daah asiyejua maana haambiwi maana 🤣🤣
Tukabidhi lindo kwanza 04:40Muda wa kujiandaa na morning glory huu




. Unaakili za kitoto we dadaMuda bado kidogo😂😂😂Tukabidhi lindo kwanza 04:40
Kheee aya bana ngoja mi nitulie...Directly ni morning glory... 😂😂😂 Ifyu don garit fogerit😂😂😂😁👍
Jiongeze mkuu kwani asubuhi watu wanafanyaga nn kabla ya kuanza mihangaiko yaoEbu nambie wewe kijana😂😂😂
Skizaa kama haijakupa goosebumps had kwny unyayo.. 😂😂😂. Unaakili za kitoto we dada
Usafi wa mwili, chai then kwenda kwenye mihangaiko au kuna kingine hapoJiongeze mkuu kwani asubuhi watu wanafanyaga nn kabla ya kuanza mihangaiko yao
Ni yale maombi na mazoez ya asubuh ya kukimbiza upepo 😂😂😂Kheee aya bana ngoja mi nitulie...
😂😂😂😂
Na bado hataelewa mpaka hapoNi yale maombi na mazoez ya asubuh ya kukimbiza upepo 😂😂😂
Mambo ya jogging kumbe...Ni yale maombi na mazoez ya asubuh ya kukimbiza upepo 😂😂😂
Mbona haina beat imekaa kienyeji hiyo 😊😊😊😒🤣🤣kama haijakupa goosebumps had kwny unyayo.. 😂😂😂
Nishaelewa mbona....😂😂😂Na bado hataelewa mpaka hapo
Ataelewaje sasa😂😂😂 mtu mwenyewe ushaona ni Poor Brain 😂😂😂akuuhNa bado hataelewa mpaka hapo
🤣🤣🤣🤣 Unanikata mainiMambo ya jogging kumbe...
Mazoezi ni muhimu kweli wala sio uwongo
Sema inategemea.. wengne kukimbia hapana