JamiiForums Usiku wa manane
Hii comment ya Ney imeniletea usingizi wa gafula; kwanza kwikwi imenipata acha niamke ninywe maji nilale
Mkiwa mnaandika muulize na BP na SHELL za wenzenu


Kwaherini rasm acha nilale nikittafakari
Inamaana umeisoma hiyo comment yangu why na nilisema usione ahahahaaaaaa pole sana Dear koroga sukari na chumvi unywe utapata auheni
 
Back
Top Bottom