JamiiForums Usiku wa manane
Haha haaaa hafu alijibu kijasili kweli nikaona mahaba si haba kumbe imechoma kuliko pasi
Ahahahaaaaaa uwiii jje's amejua kunifurahisha haki mapenzi yanauma uchungu ukagusa kwa mtima huyu kichwa kichafu aache tabia mbaya atakuja muua jje's jamani sio kwa mahaba hayo aliyonayo kwa jirani yangu
 
Back
Top Bottom