JamiiForums Usiku wa manane
Time is the best weapon, learn to use it accordingly.
If You Can't fly,run,if you can't run walk and if you can't walk then crawl but under whatever circumstance make sure that you moving Toward those expensive Dreams....Mafanikio ya Kweli Yanaanzia kwenye Fikra...
 
banaaa weweee, sipendi kweli kushindana na mwanamke.. ikishatokea hali ya mashindano ndani ni taa nyekundu hiyoo.. nimejitokea zangu kuepusha mengine hapa najua natoboa mze 😃😃😃😃
Pole sana ndugu yangu,wewe wa kwetu kabisa hupaswi kupata madhira yote hayo,shemeji kakosea sana nipe mamba yake nikuombee msamaha ila nawewe usirudie tena,wakati mwingine utajijua me sipo, haya tuma namba
 
If the thing you are doing is important enough, keep doing it even if the odds are against you.
Expensive Message bro am humbled deep down a million times...

Never Be Judged by your past it was a lesson and not a life sentence..

Never be a victim of your past Traumatic scenarios.
 
tununiane, au kimewaka 🥲🥲🥲

kimewaka na nimetoa option nikirudi achague moja.. siku hizi wachungaji wanaharibu ndoa zetu, nimemuambia achague kanisa au mie
Best best best nimekuita mara 3. Huyo ni shetani ananyatia hiyo ndoa.
Ni bora anaenda kanisani, kuliko ingekuwa bar anakesha huko.
Anaenda sehemu ya amani, uoendo na zaidi kumuomba Mungu.

Jaribu muongee vizuri, apange vizuri ratiba zake za Kanisani, usiruhusu shetani awavunje. Hiyo ni kazi ya shetani ikatae kabisa.
 
Kazi ya intelligent bussinessman hii leo😂
Haina shida Dahan, nipo na vijana wangu unawaweza??
FB_IMG_16737259987607874.jpg
 
Best best best nimekuita mara 3. Huyo ni shetani ananyatia hiyo ndoa.
Ni bora anaenda kanisani, kuliko ingekuwa bar anakesha huko.
Anaenda sehemu ya amani, uoendo na zaidi kumuomba Mungu.

Jaribu muongee vizuri, apange vizuri ratiba zake za Kanisani, usiruhusu shetani awavunje. Hiyo ni kazi ya shetani ikatae kabisa.
Nilitoa uhuru wa kuabudu , but wanataka kuingilia maisha binafsi hapo ndio tatizo limeanzia... Nimemuambia hivyo ku mtest nione anatii nini.. nikirudi akisema kanisa, Najiongeza kanisa na mchungaji vimenizidi nguvu .. 🥲🥲
 
Ooh hiyo nimeielewa, nasi tulipata dada Mlokole si akataka nasisi tuwe tunasali Kanisani kwao!!!!
Akamleta Mchungaji na Mama Mchungaji, bila kutupa taarifa, tukajifungia vyumbani kimya 😂😂😂😂😂😂
 
Kaka hebu jaribu kutuliza kichwa ili uamue hili swala, Kuhusu kanisa Bantu Lady, usitetee Sana kwasababu nimewahi ona mambo ya ajabu huko
 
Ooh hiyo nimeielewa, nasi tulipata dada Mlokole si akataka nasisi tuwe tunasali Kanisani kwao!!!!
Akamleta Mchungaji na Mama Mchungaji, bila kutupa taarifa, tukajifungia vyumbani kimya 😂😂😂😂😂😂
hawa wachungaji wa siku hizi wanazingua sana aseee, Mungu atusaidie. Siku hizi wachungaji wana sauti kubwa kuliko mume.. mchungaji akisema unyimwe unyumba hupati kitu dah
 
Back
Top Bottom