Last seen 2020Halafu huyu mleta huu uzi bwana No escape mbona haonekani? Yupi wapi?
4:07 am4:05am
2023 iwe baraka kwakoAsante National Anthem na kwako pia...
Asante National Anthem nawe pia rafiki yangu. Kila zuri na uombalo likafanyike 2023...2023 iwe baraka kwako
AJIRA MPYANimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Sina usingizi leo
Hisia zinanituma, demu wangu yuko na njemba nyingine mida hii.



waza
wwKweli aise.waza
ww