JamiiForums Usiku wa manane
Duh bahati nzuri sana, ungesoma mbele ungekuta mtu ambaye ananifahamu nje ya JF na si mmoja.
Haya sababu hizo buku ni zipi? Mbona kawaida sana, kipi huamini?
Ujue kawaida yetu binadamu tunapokutana na jambo au kitu kipya cha kustaajabisha huwa tuna kua na mawili kuamini hiki ndicho kweli ama sicho, lakini kule kutokuamini na kuamini hakubadilishi uhalisia ,so nikasema nimeamini baada ya kutokuamini kwanza

Then iyo kusema ni kawaida it is for you personally ila kwa sisi wengine ni isiyo ya kawaida aisee, lakini bado sababu zangu zipo pale pale.
 
Sawa best nimekuelewa, ila kuwa na amani. Ndiyo hivyo Mungu anakutunuku tu 😄😄😄😄😄
 
Sawa best nimekuelewa, ila kuwa na amani. Ndiyo hivyo Mungu anakutunuku tu
Yaa! Anatunuku haswa , lakini si kila mja anatunukiwa , wale walio jaliwa kunukiwa tunawapongeza na kumshukuru Mungu kwa ajili yao, ambavyo ni kwako wewe.
Nina amani nawe nakuombea amani heri ya mwaka mpya tena.
 
Back
Top Bottom