JamiiForums Usiku wa manane
Aisee, usipange kabisa, mambo yanaweza badilika. Ukajikuta unakaa tu home 🤣🤣🤣🤣🤣
hili halina ugumu, toka jana aliniomba ruhusa kesho aende saloon then kuna rafiki yake kajifungua, huo mda wote mie nitakuwa home tuu.. akifika nampanga ajiandae awahi kanisani na mie anajua kesho na kikaoo.. kesho ni free kabisa nikirudi saa 11 homa haina mbaya na hawezi leta noma maana tushasomea kufuta ushahidi na alama 😀😀😀😀
 
Usifanye maisha kama kitabu cha kusoma tukariri mistari, jipongeze kwa vitu jipende mzee acha kuona dona ndiyo ugumu uganster tunaishi kufurahia
Bro ukisikia nchi ya wabahiri, Basi Mimi ndo nchi yenyewe coz raisi atapita ila nchi itabaki

Kama tu kuspend elfu 10 roho inaniuma vipi hayo ma luxury mengine si ntachanganyikiwa
 
hili halina ugumu, toka jana aliniomba ruhusa kesho aende saloon then kuna rafiki yake kajifungua, huo mda wote mie nitakuwa home tuu.. akifika nampanga ajiandae awahi kanisani na mie anajua kesho na kikaoo.. kesho ni free kabisa nikirudi saa 11 homa haina mbaya na hawezi leta noma maana tushasomea kufuta ushahidi na alama 😀😀😀😀
Hatariiiiii wanaume 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 nikiona mwenzangu anadanganywa hivi, nahisi namimi ndiyo yaleyale.
 
Hatariiiiii wanaume 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 nikiona mwenzangu anadanganywa hivi, nahisi namimi ndiyo yaleyale.
😀😀 usichunguze sana bata hutomla... kikubwa ni mwanaume kusimama nafasi yake 100% na wewe kusimama yako.. mengine una assume hayapo
 
Back
Top Bottom