JamiiForums Usiku wa manane
Mimi kuna mtu hayuko hapa, so simu za usiku ole wako uwe umetoka sasa... Roho inaniuma, leo live band naikosa...
😀😀😀😀 dah hamshindwi kitu nyinyi.
😀😀😀😀 mtu wa hivyo una mchenga dk sifuri, siku kama ya leo unampa taarifa mapema smartphone imepata hitilafu, unatumia kitochi, kitochi hakina location wala kamera, unaenda kiwanja Chenies hotel karibu akijipigisha simu usiku wa manane unasogea hotelin mnapiga story hadi achoke then una.. mbinu hizi
 
Hii mbinu kabambe, halafu yumo humu. Sema hatembelei baadhi ya jukwaa. Siku akijua huwa nakesha huku sijui itakuaje...
Mkesha utanikutia kanisani, acha niupokee nikiwa Kanisani tu. Wewe utakuwa kwa mchepuko? Maana ushapanga jinsi ya kumtoroka mrembo wako.
 
😀😀😀 mie wangu yumo humu, ila hii ID ya maseke haijui.. siku ikitambua nahisi ndoa itapasuka 😀😀.. Mie sitopata taabu kesho.. uzuri mie kondoo wake.. kesho yeye anaenda kanisani mie naenda kwenye kikao badae atapokea text jamaa wamesema twende beCh
 
Aisee, usipange kabisa, mambo yanaweza badilika. Ukajikuta unakaa tu home 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom