Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 905
- 2,139
Nawaza pesa
Pole baba4:36
Mafua yamenikamata nimeshindwa kulala......Niko macho kama bundi
Asante sana......yaani hapa napumulia mdomoni kama nimekula pili piliPole baba
Pole mpwa......pesa ni sabuni ya rohoNawaza pesa
Yaani hakukopekiPole mpwa......pesa ni sabuni ya roho
Pesa malala nje tuYaani hakukopeki
Nimefunga lindo... mpaka saa 6 ya usiku wa leo tena. Ndiyo lindo litafunguliwa. Kumekucha nendenu mkalijenge Taifa... miye nitalipaka rangi![]()
maana yake ndo unalala saivPole, kama pua zimeziba chukua maji ya moto kias tia chumvi kijiko kmoja koroga alafu tumia kitambaa uwe kama unajikanda kwa kukandamiza pembeni ya pua humu zitazibuka moja au zote.Asante sana......yaani hapa napumulia mdomoni kama nimekula pili pili
Asante sana.... ubarikiwe sana ndugu......Pole, kama pua zimeziba chukua maji ya moto kias tia chumvi kijiko kmoja koroga alafu tumia kitambaa uwe kama unajikanda kwa kukandamiza pembeni ya pua humu zitazibuka moja au zote.
Amen tubarikiwe sote.Asante sana.... ubarikiwe sana ndugu......
😂leo umelala,nimefurahi kweli❤👊05:00
So good,anataka cha chap huyoHili soo. Mchepuko ananipigia simu eti niondoke kazini ili nipite kwake.
Ni haki hii kweli. Aaaah No No No