JamiiForums Usiku wa manane
Hili ndilo tatizo lako kuu.
Huwa wewe ndio msababishi wa ngedere kusogelea shamba lako...jitahidi wasiingia wahi😍🤣
Babeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 babe wangu ni daladala ukichelewa mtu kaingia dirishani 😄😄😄😄😄
 
Ningekuwa hivyo hapo mwisho nahisi ungesikia sana tu.
1. Napenda utani sana...yes
2. Nina upendo ...yes
Ungekuwepo kwenye circle wewe pekee naam nathubutu kusema...yes🤣🤣🤣
Uniulize why you?
Why?
 
Back
Top Bottom