Wapi mkuuHii mvua inayopiga hapa sio ya kitoto....
Unafanya kazi shift ya usiku? Manake Kila siku usiku uko active. Tueleze Siri ya mafanikio.00:50
Imeshakuwa asubuhi tenaUsingizi umekata kama umeme wa mgao
Kumekucha mbona mkuu😂Usingizi umekata kama umeme wa mgao
We ni mlinzi unamlinda Samia asiibiwe eti? Maana upo active midnight zote cute.😳😘😘00:50

AmenMliopo wapweke usiku huu
Mpate utulivu na faraja
..............![]()