Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,064
- 3,009
Unipe fantasy zako..Shemeji hakunaga kitu ngumu kama kupata usingizi huku una nyegehili nalo litapita
Barikiwa sana ndugu yangu....nalala vizuri sana sikuhizi....nimemweka Mungu mbele kuliko CHOCHOTE hivyo ananituliza sanaWaefeso 4 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁶ Mwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka;
²⁷ wala msimpe Ibilisi nafasi.
Kama wanadamu hatuwezi kukwepa kupatwa na hasira nyakati fulani. Muhimu ni kuwa tusiende vitandani mwetu tukiwa na mawazo ya uchungu, hasira, majuto nk. Hili ni baya sana na humpa ibilisi nafasi ya kututenda vibaya hasa kupitia ndoto. Pia Mungu hawi nasi hivyo kumpa nafasi shetani kutuvuruga na kuwa na siku mbaya. Hii hapa sababu ya kuwa na mawazo mema wakati wa kulala:
Ayubu 33 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁴ Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.
¹⁵ Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani;
¹⁶ Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao,
Tunapokwenda kulala tukiwa na dhamira safi, Mungu hushuka na kutupa mwongozo wa siku inayofuata. Lakini tukiwa na mawazo negative hawezi kusema nasi, shetani huchukua fursa.
We ni kiongozi wa chaputa??? Naomba uanachama
Ahhh.. kwahiyo fantasy yako ni chaputa?We ni kiongozi wa chaputa??? Naomba uanachama
Kama mmeona movie ya Joker ni kwamba prodigies huwa wanaonekana kama outcasts ila kumbe ndio wenye akili zaidiLeo nimeupenda ule uzi wa 2 pac

Hulali ee02 :30
Unataka kuwa na colabo za misa?..usiku ya shetani na asubuhi ya Mungu?Kuna girl next door nawaza sijui nikamgongee mlango nizame chumbani kwake..nitoke huko saa 11 nijiandae na misa ya kwanza🥱☹️😒
Utakufa hutofika uzeeniWakuu nahitaji msaada Tafadhali, nifanyeje Ili kupata usingizi. Si mchana sio usiku sipati usingizi. I can't imagine how uzee wangu utakavyokua![]()
Mimi hili tatizo lilinipataga na niko nalp hadi sasa iv.Wakuu nahitaji msaada Tafadhali, nifanyeje Ili kupata usingizi. Si mchana sio usiku sipati usingizi. I can't imagine how uzee wangu utakavyokua😟
Mimi Kuna kipindi Huwa usingizi unakata saa 8 usiku then naupata Tena saa 11 waoneni madktariMimi hili tatizo lilinipataga na niko nalp hadi sasa iv.
Nnachofanya ili nilale nusu saa kabla ya kulala naweka simu sebuleni.
Alafu naenda kitandani na smart speaker yangu nasikiliza binaural beats therapy.
Nikishtuka usingizini nawasha Laptop naangalia series yoyote brightness ikiwa zero lazima nisinzie.