Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 614
- 1,349
na tuanze mkesha
Tuko pamoja mkuuMkesha wa maombi
Umekomenti vipi sasa..Laleni jamani mnatuamsha tuliolala 01:21
Mnapiga kelele sana mnatuamsha tuliolalaUmekomenti vipi sasa..
Mchana usingizi usiku macho makavu
MweeehMnapiga kelele sana mnatuamsha tuliolala
Waefeso 4 (Biblia Takatifu)Kuna changamoto napitia zanibebea usingizi wangu
Barikiwa mtumishi wa MunguWaefeso 4 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁶ Mwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka;
²⁷ wala msimpe Ibilisi nafasi.
Kama wanadamu hatuwezi kukwepa kupatwa na hasira nyakati fulani. Muhimu ni kuwa tusiende vitandani mwetu tukiwa na mawazo ya uchungu, hasira, majuto nk. Hili ni baya sana na humpa ibilisi nafasi ya kututenda vibaya hasa kupitia ndoto. Pia Mungu hawi nasi hivyo kumpa nafasi shetani kutuvuruga na kuwa na siku mbaya. Hii hapa sababu ya kuwa na mawazo mema wakati wa kulala:
Ayubu 33 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁴ Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.
¹⁵ Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani;
¹⁶ Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao,
Tunapokwenda kulala tukiwa na dhamira safi, Mungu hushuka na kutupa mwongozo wa siku inayofuata. Lakini tukiwa na mawazo negative hawezi kusema nasi, shetani huchukua fursa.
Shemeji hakunaga kitu ngumu kama kupata usingizi huku una nyege 😔😔😔 hili nalo litapitaWalimwengu Shemeji... Ulalae...
Pole shemeji... Kaza moyo ni mapito tuuShemeji hakunaga kitu ngumu kama kupata usingizi huku una nyege 😔😔😔 hili nalo litapita
Hakika ni mapito, yatapita.....Pole shemeji... Kaza moyo ni mapito tuu
Ichape na maji moto, jilalie zako... Ndivyo inavyosemekana...Hakika ni mapito, yatapita.....
Piga puriShemeji hakunaga kitu ngumu kama kupata usingizi huku una nyege 😔😔😔 hili nalo litapita
Sina uanachama wa chaputaPiga puri