JamiiForums Usiku wa manane
"Usijihesabie umekuwa mtu mzima mpaka utakapoelewa kuwa maisha binafsi ya watu wengine na faragha zao hayakuhusu, wala imani zao na mitizamo yao hailazimiki kufanana na yako. Utu uzima ni hekima ya kuishi na watu usiofanana nao."
 
"Shari na matusi ni lugha ya mawasiliano kwa wenye upungufu wa kamusi, nahau, semi, visawe (synonyms) na makuzi. Kadri tunavyopanua lugha na maarifa yetu ndivyo tunavyopunguza uwezekano wa kutumia nguvu na matusi dhidi ya wale tunaopishana nao kauli na mitizamo."
 
FB_IMG_16629321544448148~2.jpg
 
01:30 Nikipitapita kwny corridors za jamii forum nimeingia kwny chumba cha mahusiano na mapenzi, very interesting nimegundua jamii forum ni pana sana na kila member ana eneo lake ambalo yuko na addiction nalo.Kama kuna bebe iko macho tuchat wife kalala hapa fofofo..😂
 
Back
Top Bottom