Pole sana mkuu. Ubavu wako hayupo?Usingiz umenipaa Leo🤦
Hiyo ilikuwa Jana...Leo tena ndo ivi😔Pole sana mkuu. Ubavu wako hayupo?
Duh, mkuu kuna nini?Hiyo ilikuwa Jana...Leo tena ndo ivi😔
Ubavu wangu ninao daily...mi nilizaliwa na mama sikubanduliwa Kwa mtu mkuuPole sana mkuu. Ubavu wako hayupo?
😅😅😅Ubavu wangu ninao daily...mi nilizaliwa na mama sikubanduliwa Kwa mtu mkuu
Kuna changamoto napitia zanibebea usingizi wanguDuh, mkuu kuna nini?
Nope, usiwe hivyo. Wakati wa usiku jaribu kumaliza siku yako kwa kuwaza mema tu na mipango mizuri siku inayofuata. Fanya hivyo afu utashangaa maisha yako yatakavyobadilikaKuna changamoto napitia zanibebea usingizi wangu
BarikiwaNope, usiwe hivyo. Wakati wa usiku jaribu kumaliza siku yako kwa kuwaza mema tu na mipango mizuri siku inayofuata. Fanya hivyo afu utashangaa maisha yako yatakavyobadilika
Unajua tumejizoeza kwamba wakati wa kulala ni muda wa kutafakari yote mabaya tuliyokutana nayo. Hivyo tunalala na negative thoughts. Usikubali kumaliza siku yako na mawazo hasi, jitahidi kuwa unawazia mambo mazuri tu, hakika hayo yataanza kujidhihirisha maishani mwako.Kuna changamoto napitia zanibebea usingizi wangu
🙏Barikiwa
Asante sana ndugu🙏Unajua tumejizoeza kwamba wakati wa kulala ni muda wa kutafakari yote mabaya tuliyokutana nayo. Hivyo tunalala na negative thoughts. Usikubali kumaliza siku yako na mawazo hasi, jitahidi kuwa unawazia mambo mazuri tu, hakika hayo yataanza kujidhihirisha maishani mwako.
Uwe na usiku mwema mkuu.
Mambo? Asante Kwa somo ....night nzima nimelala bhana🤝❤️
😄😄 ni furaha kubwa kusikia hilo mkuuMambo? Asante Kwa somo ....night nzima nimelala bhana🤝❤️
Mkesha wa maombiMkesha umeanza