JamiiForums Usiku wa manane
Daaa leo mm nimekunywa energy nlikuwa na shughuli sehem sasa inanionya usingizi sina
 
Leo nalinda nyumbani kwa kiongozi mstaafu wa chama Cha upinzani.
Kwa kweli napata mshahara wa bure tu.
Huo mshahara wa Bure itakuwa vyema hata robo yake aishi nako BabaMorgan Kwa kukupa kampani kwenye Uzi
 
Back
Top Bottom