Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Lindo halina watu
kesho holiday acha nitafute paka moja la kulala nalo
kesho holiday acha nitafute paka moja la kulala nalo
njoo kitamba cheupe.tutekee mateka02:19 usingizi umekataaa
I promise nakuahidi hutojutia hata dakika moja usilale babes nataka nikuimbie kawimbo kakukubembeleza!
Kuna kaukweli fulani hapaUkiona ikifika kuanzia saa 8 usingizi unakata, ujue Mungu anakuamsha ufanye ibada.
Mpo wngi macho semaa tu ndio hvyo wengine wapo kmya km ww wakichat nakulanaaa cha alfajiriiiNje kumetuliaa. Block Zima nahisi no Mimi tu niliye macho.