Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,425
tafuta bar ilipo ukeshe00:33 wamekata umeme wao
tafuta bar ilipo ukeshe00:33 wamekata umeme wao
00:3600:33 wamekata umeme wao
Rafiki ni yule anaekununulia gambe bwanaa😂😂tafuta bar ilipo ukeshe
Nafikir kurudi itakuwa asubuhi😂Rafiki ni yule anaekununulia gambe bwanaa😂😂
Nimeshaitwa sehemu mida hii
🏠 🚶Nafikir kurudi itakuwa asubuhi😂
Komaa comrade Mungu ndiye aliyetukabidhi jukumu hilo wanaumeNiko pori kikazi. Muda huu nimetoka kunyonga dongo nimefinya hapa nipo kichalichali nabeua cheua tu!
Nikiamka asubuhi nakidimua kutwa nzima show ita lapse 7days...! daah nimewamiss wanangu hasa mama yao!!