Hivi ni offer ya bure ama wamejisahau?Wazee jitahidi msilale kama mna line ya Tigo express yourself.
Leo itatubidi tukeshe hakuna namna.
Ntaachia lindo saa kumi na mbili asubuhi.
Muhimu kukaa ndani na konyagi. Usingizi ukizingua unauzingua huku unaangali Liverpool tv.Ngoja nikazimue asee
Hahahaha afu kweliiMuhimu kukaa ndani na konyagi. Usingizi ukizingua unauzingua huku unaangali Liverpool tv.