Siku kama hizi niko nanyi popo wenzangu,
Nabaki na majonzi siwaoni wapendwa,
Hivi niseme au nilie, labda niuchune,
Halafu nione nini mimi nitafanya,
Lakini siwezi kukesha tena bila nyinyi popo, Nasema tena siwezi kukesha bila Nleterewa Nganengo jje's Neybright Kichwa Kichafu The Monk Iceberg9 Joseverest mgunga pori Mwanyasi n.k
Wwe wajua nimepata wakuniweka kilingeni nikatuliaSiku kama hizi niko nanyi popo wenzangu,
Nabaki na majonzi siwaoni wapendwa,
Hivi niseme au nilie, labda niuchune,
Halafu nione nini mimi nitafanya,
Lakini siwezi kukesha tena bila nyinyi popo, Nasema tena siwezi kukesha bila Nleterewa Nganengo jje's Neybright Kichwa Kichafu The Monk Iceberg9 Joseverest mgunga pori Mwanyasi n.k
Wwe wajua nimepata wakuniweka kilingeni nikatulia
Popo wenzio tupo majukum tuuu

Hongera sana kwa kutulizwa!