JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Najuta kukuambia, maana tangu mwanzo hukutaka huo uhusiano wangu na kakazo[emoji57]

Huyo Sam hakuwahi nipenda hata chembe, bora hata hao kaka zako walionesha japo dalili[emoji6]
Unasubiri mpaka upendwe? Utachelewa unatakiwa ujilazimishe hivyo hivyo upendo utaupata mbele ya safari. Haya hao waliokupenda wako wapi sasa[emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Duh! Ila kweli[emoji848] Inabidi nitafute mwalimu wa kunipiga tution ya kujipendekeza na kung'ang'ania mtu mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom