Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,168
- 4,334
Waswahili wanasema usingizi umepaa!

Kama mimi yaan hata sijuiHuu usingz leo sjui naupata saa ngap
Unaanza usiku wa manane mkuu.Kwani usiku wa manane unaanza saangap?
Saa usiku wa manane mkuuUnaanza usiku wa manane mkuu.

Ee mkuu, karibu Balimi.🤣Saa usiku wa manane mkuu![]()
Ee mkuu, karibu Balimi.![]()


Hapa hakuna paka pori mze.
We endlea kupata, Ila niwekee oda bamed mmoja hapo
Poa mze we endlea kuburudika.Hapa hakuna paka pori mze.
Kula maishaEe mkuu, karibu Balimi.![]()