we utakuwa job, maana ungekuwa home sasa hivi ushajichokea.Amkeniiiiiii, mwenzenu nimeweza kubadili rangi ya maandishi yangu![]()
Amkeniiiiiii, mwenzenu nimeweza kubadili rangi ya maandishi yangu![]()

Nifundishe tasavaliKwa hiyo umekesha ukijaribu,,,,hongera kwa mafanikioAmkeniiiiiii, mwenzenu nimeweza kubadili rangi ya maandishi yangu![]()
Usijali,Nifundishe tasavali
Ahsante BabuuuuKwa hiyo umekesha ukijaribu,,,,hongera kwa mafanikio
Nipo kitandani kwangu usingizi tu umekata na Baba chanja kasafiri, that's why.we utakuwa job, maana ungekuwa home sasa hivi ushajichokea.
AhsanteUsijali,
Color=Red unaandika ndani ya mabano hayo [ ] kisha unaandika neno utakalo ila huachi nafasi kati ya mabano na neno,
Mf: (color=blue)Tanzania Nakupenda
Lakini mabano yanakua [ ] sio kama hayo ya kwenye mfano
Karibuuuuuu
Nimetoka na kitu hapaAhsante
okNipo kitandani kwangu usingizi tu umekata na Baba chanja kasafiri, that's why.
Kichwa ngumu wewe[colour=grey] ok
tz inapendezaUsijali,
Color=Red unaandika ndani ya mabano hayo [ ] kisha unaandika neno utakalo ila huachi nafasi kati ya mabano na neno,
Mf: (color=blue)Tanzania Nakupenda
Lakini mabano yanakua [ ] sio kama hayo ya kwenye mfano
Karibuuuuuu
Queen ni tutor makiniNimetoka na kitu hapa
Ulipatia kasoro tu uliacha nafasi kati ya mabano na Ok,ok
imegoma
AsanteUsijali,