😀03:38
Mbona hujalala unashughulikia au unashughulikiwa au ni ....Kiana..?03:38
Nipo lindo mieMbona hujalala unashughulikia au unashughulikiwa au ni ....Kiana..?
Leo hii umekuwa wa lindo..! Hawa wamlinda nani...?Nipo lindo mie
Nawalinda nyie mnaolala msiote ndoto za ajabu.Leo hii umekuwa wa lindo..! Hawa wamlinda nani...?
Nishaota kitambo umechelewa dada! Mi niponipo tu 😀Nawalinda nyie mnaolala msiote ndoto za ajabu.
Na wewe vipi sahizi
Hahaa haya malizia usingizi, soon kunakuchaNishaota kitambo umechelewa dada! Mi niponipo tu 😀
Huo usingizi utokee wapi.. alien wameula!Hahaa haya malizia usingizi, soon kunakucha
Pole sanaHuo usingizi utokee wapi.. alien wameula!
Nipatie wakwako hata wa nusu saaPole sana
Nakutumia usubirieNipatie wakwako hata wa nusu saa
😊Nakutumia usubirie