skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,385
Hahaha ndo npo nalamba glucose taratibu!dunia isimame ulambe glucose kwanzs
Huku tumebaki mapopo tu!
MmmhHahaha ndo npo nalamba glucose taratibu!
Kwanini umechagua kuwa popo na sio bundi au mchawi?Huku tumebaki mapopo tu!
Nmechagua kua popo kwa sabb......!Kwanini umechagua kuwa popo na sio bundi au mchawi?
Sent from my CPH1933 using JamiiForums mobile app
movie kali sana hiiNaangalia Movie inaitwa The Harder they Fall" Huku nikivuta shisha magetoniView attachment 2010775
Sent from my SM-G980F using JamiiForums mobile app
EehMmmh
mwaga mchele acha uoga hahahaNmechagua kua popo kwa sabb......!
Ziainishe pleaseNmechagua kua popo kwa sabb......!
Aah sawa ngoja niseme sasamwaga mchele acha uoga hahaha
Sawa ngoja nizitaje
unatutumia pm au unasema hapahapaSawa ngoja nizitaje
Sawa ntasema hapahapaunatutumia pm au unasema hapahapa
Hahaha oky me ni popo kwa sabb ikifika mida tu ya kulala mim usingizi unapotea!
Pole Sana,, umejua tatizo hasaHahaha oky me ni popo kwa sabb ikifika mida tu ya kulala mim usingizi unapotea!
Yeah tatizo nalijua