Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,410
- 4,870
005800:54am
Habari zenu wapendwa katika bwana?
005800:54am
Habari zenu wapendwa katika bwana?
[emoji2] tulia hapo mpaka asubuhi ,siku nyingine usisahau kuweka full tankjamani nimeanguka kwenye bati la mtu naombeni msaada 03:52am
we una mawazo ya kuachwa [emoji23][emoji23][emoji23]mpka sasahivi hujalala tu[emoji2] tulia hapo mpaka asubuhi ,siku nyingine usisahau kuweka full tank
Punguza kutoa siri zako hadharani boss[emoji2]we una mawazo ya kuachwa [emoji23][emoji23][emoji23]mpka sasahivi hujalala tu
[emoji2]mkeka umebuma.Hao mmbwa wamekuhurumia sana ,hapo ukifika home unakuta kufuli limevunjwa pia. Jipange tu kiongoziMkuu nimechakazwa na kanjibai pigwa vibaya mno,npo zangu narudi home kufika keko nmekutana na sungusungu wananiita mi msomali hamza wamenitia pingu na wao wakakomba kila kitu mbwa hawa[emoji23][emoji23][emoji23]npo sasahivi natangatanga tu.
Ungewapa na simu tu ,maana unatupigia kelele tuliolalaMkuu nimechakazwa na kanjibai pigwa vibaya mno,npo zangu narudi home kufika keko nmekutana na sungusungu wananiita mi msomali hamza wamenitia pingu na wao wakakomba kila kitu mbwa hawa[emoji23][emoji23][emoji23]npo sasahivi natangatanga tu.
mkuu naona huwa unapata shida sana kulala[emoji23][emoji23][emoji23]00:16
Mim hapa nina mpango nianze kukunja nguo zangu taratibu...Hadi asubuiNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
mawazo gani yanakusumbuaMim hapa nina mpango nianze kukunja nguo zangu taratibu...Hadi asubui
Yani ndugu yangu acha tu!mawazo gani yanakusumbua
dunia isimame ulambe glucose kwanzsYani ndugu yangu acha tu!