Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Nawasalimu
Hakuna Salam, ni mwendo wa vitu vikali tu...Nawasalimu
Nipe codeHakuna Salam, ni mwendo wa vitu vikali tu...
Ni saa ngapi huko?
Huko wapi mkuu?Ni saa ngapi huko?
Mkuu samahani kumbe wewe ni ke!!?Kundi ke, majukumu ya kundi hili ni yapi?
Enzi hizo huu uzi ulinipa company sana. Walinzi wenzangu wa enzi hizo wengi siku hizi nao wamestaafu.Ina maana siku hizi watu hamna kabisa stress za kuwafanya mkose usingizi na mje hapa kupiga stori?
Huwa nawaza sana juu ya maisha yangu baada ya masomo Ya universityNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Hakuna aijuaye kesho yake, acha kuwaza yajayo tilia mkazo masomo yako kwanzaHuwa nawaza sana juu ya maisha yangu baada ya masomo Ya university
I went through a worst case of insomnia nilikuwa silali hata siku tatu.![]()