Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Naomba unipe tution ya kushusha mistari vinginevyo nitageuka domo zege bure.Kwa watu wazima wanaelewa, kama yupo single uta-win. Kwa sababu me/ke wanategemeana. Pia mkiwa wawili tu kwenye maongezi nafasi ya kushinda ni kubwa