moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,152
- 770,272
Mkuu kwema.09:04
Saa 3 ushafika lindoni!?
Mkuu kwema.09:04
Naona lindo linechangamka mapema tuLeo lindo mapema sana....
Ndio mkuu, si tulikubaliana tuweke daftati la mahudhurio?Mkuu kwema.
Saa 3 ushafika lindoni!?
Tena nyie ma-matron naona mnaleta mzaha na lindo tutashuka na nyie jumla jumlaLeo mkwara mzito
Ngoja tujipange afande, acha hasiraTena nyie ma-matron naona mnaleta mzaha na lindo tutashuka na nyie jumla jumla
Sio hasira Matron bali uzalendo katika kazi....Ngoja tujipange afande, acha hasira
Afande alisema kuwa daftari tunaandikia, kwahiyo kuanzia kesho tutakuwa tunasaini kwa vidole (biometric)Ndio mkuu, si tulikubaliana tuweke daftati la mahudhurio?
Haya ni maendeleo kabisaAfande alisema kuwa daftari tunaandikia, kwahiyo kuanzia kesho tutakuwa tunasaini kwa vidole (biometric)
Echo Mic CopyHaya ni maendeleo kabisa
Sawa mkuu, haya leteni taarifa ya uhalifuNdio mkuu, si tulikubaliana tuweke daftati la mahudhurio?
Kamanda huonekani huku, uko wapi?0020
Usijaribu mkuu,
Boss ufike sasa muda umewadia0111Hrs
16.06.2021
Wednesday.
Hali ni swhsriSawa mkuu, haya leteni taarifa ya uhalifu
Nimefika,nilikwama tangu jana nilikutana na vibakaBoss ufike sasa muda umewadia


0025Leo mi mwenyewe ntahakikisha maafande wote wanarudisha silaha Amala alfajiri, tofauti na hapo hatua kali kisheria zitachukuliwa....
Taarifa zozote kuhusu Kichwa Kichafu ????Nimefika,nilikwama tangu jana nilikutana na vibaka![]()