Hank_31
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 855
- 2,110
Hahaha mkuu, nilifika, sema nilipatwa na dharura nikawahi kuondoka.Jana hujafika lindoni na hakukuwa na taarifa yoyote.
Tuanzie hapo
Niko tayari kuwajibika mkuu....
Hahaha mkuu, nilifika, sema nilipatwa na dharura nikawahi kuondoka.Jana hujafika lindoni na hakukuwa na taarifa yoyote.
Tuanzie hapo
2:371:22 am
Napiga maombi ya kimkakati kuwaangushaTuko angani tunawanga mida hii
OverMkuu nipe jukumu la kufanya hapa
06136:11
Mmh..Pamoja na baridi yote ,09:04
Nimetangulia Amala kila leo mi mwenyewe ndo nagawa silaha maana naona utovu wa nidhamu umezidi mkuuMmh..Pamoja na baridi yote ,
Kuna wanalindo washaingia mzigoni
Leo lindo mapema sana....
Mmegundua nini ? mbona mna wahi ivyo09:04
Leo mi mwenyewe ntahakikisha maafande wote wanarudisha silaha Amala alfajiri, tofauti na hapo hatua kali kisheria zitachukuliwa....Mmegundua nini ? mbona mna wahi ivyo
Au mna mpango wa kutoroka Lindi mapema..
Leo mi mwenyewe ntahakikisha maafande wote wanarudisha silaha Amala alfajiri, tofauti na hapo hatua kali kisheria zitachukuliwa....