moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,152
- 770,272
Kwema bossJambo jema kabisa boss wangu.
Kwema bossJambo jema kabisa boss wangu.
Salama Kabisa Kiongozi.Kwema boss
Nipomkuu
Kamata lindo kwa muda mi naenda kulaNipo

Sawa afandeKamata lindo kwa muda mi naenda kula![]()
Nimerudi, kinaendelea nini hapa?Sawa afande
Mimi ndioTunaanza na huu usiku wa manne. Hamjambo wandugu?
Naomba uongozi wa chama cha mapopo uchukue hatua kali za kisheria kwa wanaochelewa na kuwahi kuondoka lindoni....Leo mapema hivyo![]()
Naomba uongozi wa chama cha mapopo uchukue hatua kali za kisheria kwa wanaochelewa na kuwahi kuondoka lindoni....
Nawasilisha .......



Jana hujafika lindoni na hakukuwa na taarifa yoyote.Naomba uongozi wa chama cha mapopo uchukue hatua kali za kisheria kwa wanaochelewa na kuwahi kuondoka lindoni....
Nawasilisha .......
Hahaha mkuu, nilifika, sema nilipatwa na dharura nikawahi kuondoka.Jana hujafika lindoni na hakukuwa na taarifa yoyote.
Tuanzie hapo