JamiiForums Usiku wa manane
Sijui nipoje yan! Hadi najichikia sometimes! Nakula electro music hapa kwa sauti ya mbali ndani ya headphones, najikuta nipo high Hadi natokwa machozi namna instruments & lyrics zinavopenya masikioni 🥺🥺
Hahahaa,feeling ya wimbo huja pale unapoconnect wimbo huo na tukio fulani ambalo lilikutokea,ni issue yakisaikolojia tu hiyo.
 
Inaelekea umewazoeza kuwapa uhuru, sio mbaya lakini ni muhimu kuwafundisha watoto kuheshimu muda, wakati wa kulala wanatakiwa walale, wakati wa kuamka waamke, wakati wa kula nk, hii ukiweza kuimanage itakua na faida kwa watoto hata huko mbeleni watakapokua watu wazima
 
Mkuu respect sana kwako.
 
22:59

Screenshot_20210612-225802.png
 
Back
Top Bottom